Usafi wa mazingira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d +image #WPWP,#WPWPTZ
d #WPWP,#WPWPTZ
Mstari 38:
Katika nchi zilizoendelea, matibabu ya maji taka katika manispaa yanafanywa kwa wingi,<ref> [http://adminrecords.ucsd.edu/ppm/docs/516-10-6.html kawaida Marekani viwango vya kutibu maji]</ref> lakini bado hayafanyiki kila pahali duniani. Katika nchi zinazoendelea maji machafu bado ina achiliwa katika mazingira bila kutibiwa. Kwa mfano, katika Amerika ya Kusini 15% ya majitaka zilizokusanywa ndio ilitibiwa tibiwa (tazama maji na usafi wa mazingira katika Amerika ya Kusini)
 
=== Utumiajia upya wa maji machafu ===
katika nchi zinazoendelea, utumizi wa maji taka kwa kilimo cha unyunyizaji ni wa kawaida. Utumuzi upya wa maji chafu yaliotibiwa kwa mandhari ya kutengeneza vingoe, kilimo cha unyuzisaji maji na viwandani unazidi kuenea.
 
Mstari 47:
 
== Usafi wa mazingira na afya ya umma ==
Umuhimu wa kutenga taka upo katika jitihada za kuzuia maji na usafi wa mazingira kuhusiana na ugonjwa, ambayo inaadhiri nchi zilizoendelea na zinazoendelea kwa viwango mbalimbali.[[Picha:Dishwashing.jpg|thumb|Mtoto akisafisha vyombo]] Inakadiriwa kuwa hadi watu milioni 5 wanakufa kila mwaka kutokana na magonjwa yanayozuilika yanayotokana na maji <ref> [http://www.pacinst.org/reports/water_related_deaths/water_related_deaths_report.pdf Taasisi Pacific]</ref>, kwa sababu ya upungufu wa usafi na usafi wa mazingira. Athari za usafi wa mazingira zimeathiri jamii pakubwa. Katika kitabu cha ''Griffins'' usafi wa mazingira ya ''Umma'' utafiti wa ''Usafi wa Mazingira'' unaonyesha kuwa hali ya juu ya usafi wa mazingira inaleta mvutio maishani.
[[Picha:Dishwashing.jpg|thumb|Mtoto akisafisha vyombo]]
 
 
=== Kuboresha usafi wa mazingira wa ulimwengu ===
Mpango wa ufuatiliaji wa Pamoja wa maji na usafi wa WHO na [[UNICEF]] inafasili uboreshaji wa usafi wa mazingira kama: