David J. Wineland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''David Jeffrey Wineland''' (amezaliwa 24 Februari, 1944) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amechun...'
 
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha: David Wineland 2008.jpg|thumbnail|right|200px| David J. Wineland]]
 
'''David Jeffrey Wineland''' (amezaliwa [[24 Februari]], [[1944]]) ni mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa amechunguza chembe za [[nuru]] na nadharia ya [[kwanta]]. Mwaka wa [[2012]], pamoja na [[Serge Haroche]], alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''.