Leo Sowerby : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
+Leo_Sowerby.jpg #WPWP #WPWPTZ |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Leo Sowerby''' ([[1 Mei]] [[1895]] – [[7 Julai]] [[1968]]) alikuwa mtungaji muziki, mpiga kinanda na mwalimu wa muziki kutoka nchi ya [[Marekani]]. Alifundisha na kupiga kinanda hasa katika mji wa [[Chicago]]. Mwaka wa [[1946]] alikuwa mshindi wa [[Tuzo ya Pulitzer ya Muziki]] ya muziki kwa utungaji wake wa “Wimbo ya Jua” (kwa Kiingereza ''Canticle of the Sun'').
|