Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages. As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

Ukurasa wa mtumiajiEdit

Hongera kwa hamasa kubwa ya uchangiaji katika mradi wa wikipedia.
unaweza kuanzisha makala ya Mtumiaji, na kuweka chochote unachopenda kikuelezee. Fuata kiungo hapa chini
Kiungo

Czeus25 Masele (majadiliano) 14:00, 31 Julai 2020 (UTC)

Habari Godson, asante kwa kuchangia! Naona katika fomati kuna mawili matatu madogo yanayohitaji kuboreshwa. Angalia mabadiliko niliyofanya katika makala Wanja Moria pamoja na Wikipedia:Mwongozo_(Muundo) (kutaja lemma kwa herufi koze mwanzoni) na Wikipedia:Mwongozo_(Viungo_vya_Wikipedia) (kuamulia mahapi pa tanbihi kwa msimbo wa {{marejeo}}. 12:13, 10 Oktoba 2020 (UTC) Kipala (majadiliano) 20:20, 4 Novemba 2020 (UTC)

SalzburgEdit

Hello Bro,

I am learning Kiswahili right now, but I am in a starter level. I think it is great that Wikipedia is also avalible in Kiswahili language! I want to help Wikipedia in Kiswahili language, I have worked on the article of the City Salzburg, but my Kiswahili is still in starter level, but I know Salzburg very well. Would you like to create this article together with me? Just to check the grammar I wrote and so on?

Regards,

Alex 84.174.183.93 03:38, 28 Novemba 2020 (UTC)