Gladys Gibbs
Joined 25 Januari 2020
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 2:
==Kuweka picha bila maelezo==
Mpendwa, asante kwa jitihada yako ya kuongeza picha kwenye makala. Hata hivyo, ingekuwa vema ukijitahidi kuweka picha pamoja na maelezo yanayofaa. Nimeangalia mfano wa https://sw.wikipedia.org/wiki/Picha:Selection_on_the_ramp_at_Auschwitz-Birkenau,_1944_(Auschwitz_Album)_1a.jpg uliyoweka na maelezo "Maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi Ulaya". Kwanza picha hii iko tayari kwenye makala, pili kwa maelezo sahihi. Nashukuru ukiangalia makala yote kabla ya kuingiza picha na kutafuta maelezo ya maana. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 13:
|