Ubunifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d +A fashion designer fitting clothes in Tanzania.jpg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[File:A fashion designer fitting clothes in Tanzania.jpg|thumb|right|Mbunifu wa [[mitindo]] ya mavazi akionesha ubunifu wake]]
'''Ubunifu''' (kutoka [[kitenzi]] chenye [[asili]] ya [[Kiarabu]] "kubuni"; pia: '''ugunduzi''', japo si maneno yanayolingana kabisa katika maana zake.<ref>{{cite web | url = http://www.businessinsider.com/this-is-the-difference-between-invention-and-innovation-2012-4 | title = This Is The Difference Between 'Invention' And 'Innovation' | first = Kim | last = Bhasin | date = 2012-04-02 | work = Business Insider }}</ref> ) mara nyingi huchukuliwa kuwa ni matumizi ya njia bora zaidi zinazokidhi kutatua [[changamoto]] mpya, changamoto ambazo tayari zipo lakini hazijapatiwa ufumbuzi bado, au changamoto zilizopo kwenye [[soko]] au [[jamii]] kwa kipindi husika.<ref>Maryville, S (1992). "Entrepreneurship in the Business Curriculum". ''Journal of Education for Business''. Vol. 68 No. 1, pp. 27–31.</ref>