Petro wa Anagni : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Petro wa Anagni''' (alifariki tarehe 3 Agosti 1105) anakumbukwa kama askofu mwenye juhudi wa mji huo (Italia ya Kati). Ka...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Petro wa Anagni''' (
Kabla ya hapo aliishi kama [[mmonaki]] kati ya [[Wabenedikto]] hadi alipoitwa na [[kardinali]] [[Papa Gregori VII|Ildebrando wa Soana]] kuhamia [[Roma]].
[[Papa Paskali II]] alimtangaza [[mtakatifu]] [[tarehe]] [[4 Juni]] [[1110]]<ref name="fenicchia2">Vincenzo Fenicchia, BSS, vol. X (1968), col. 663.</ref>.
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya [[kifo]] chake.<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>
|