Basilika kuu la Bikira Maria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[image:SantaMariaMaggiore_front.jpg|thumb|200px|[[Basilika la Kipapa]] la Santa Maria Maggiore ([[mita]] 92x80) ndilo [[kanisa]] kubwa kuliko yale yote ya kumheshimu [[Bikira Maria]] [[Mji|mjini]] [[Roma]], [[Italia]].]]
[[File:Interior of Santa Maria Maggiore (Rome).jpg|thumb|Basilika kwa ndani.]]
'''Basilika kuu la Bikira Maria''' ''(it.kwa [[Kiitalia]]: Santa Maria Maggiore)'' katika [[mtaa]] wa [[Esquilino]] [[Jiji|jijini]] [[Roma]] ni [[kanisa]] lililojengwa kwanza na [[Papa Liberius]] ([[352]]-[[366]]) kwa heshima ya [[Bikira Maria]] .
 
Kama lilivyo sasa ni kazi hasa ya [[Papa Sixtus III]] ([[432]]–[[440]]) aliyelishughulikia mara baada ya huyo kutangazwa na [[Mtaguso wa Efeso]] ([[431]]) kuwa [[Mama wa Mungu]].
Mstari 11:
[[Kumbukumbu]] ya [[kutabaruku|kutabarukiwa]] kwake huadhimishwa kila [[mwaka]] tarehe [[5 Agosti]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-katoliki}}
 
[[Jamii:MajengoMakanisa]]
[[Jamii:Bikira Maria]]
[[Jamii:Roma]]