Chris Oyakhilome : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
#1Lib1Ref Nimeongeza uthibitisho→‎Huduma na uponyaji
#1Lib1Ref Nimeongeza uthibitisho→‎Historia
Mstari 18:
[[Mchungaji]] Chris alilelewa katika [[familia]] ya [[Kikristo]], aliokoka katika [[umri]] wa miaka 9 akaanzisha [[huduma]] yake kwa [[Wakristo]] kama [[kijana]] katika [[Chuo kikuu cha Bendel State]] (sasa "[[Chuo kikuu cha Ambrose Alli]]") aliposomea [[ujenzi]].<ref>{{Cite web|title=The Family of Pastor Chris Oyakhilome Revealed|url=https://punchng.com/the-family-of-pastor-chris-oyakhilome-revealed/|work=Punch Newspapers|accessdate=2020-08-22|language=en-US|author=Published}}</ref>
 
Alimuoa Anita Oyakhilome mwaka wa [[1991]]<ref>{{Cite web|title=Interesting facts from biography of pastor Anita Ebhodaghe Oyakhilome|url=https://www.legit.ng/1115224-anita-oyakhilome-biography.html|work=Legit.ng - Nigeria news.|date=2020-06-08|accessdate=2020-08-22|language=en|author=Stephanie Obasanho}}</ref> na wamejaliwa kupata mabinti wawili. Anita alikuwa [[Mkurugenzi]] wa [[ofisi]] ya kimataifa ya Christ Embassy ambaye pia mchungaji katika makanisa ya Christ Embassy huko [[Uingereza]], ikiwa ni pamoja na sura yake mwenyewe, Embassy Docklands, katika North Woolwich, [[London]]. Alikuwa Mkurugenzi-mshiriki wa "Loveworld Christian Network". Mnamo mwaka wa [[2016]], Mchungaji Chris na Anita walitalikiana baada ya kuishi pamoja kwa miaka 25.<ref>{{Cite web|title=Pastor Chris Oyakhilome, Biography, House, Wife, Children, Private Jet, House, Cars|url=https://buzznigeria.com/pastor-chris-oyakhilome/|work=BuzzNigeria - Famous People, Celebrity Bios, Updates and Trendy News|date=2013-12-17|accessdate=2020-08-22|language=en-US|author=Obiora Emeka}}</ref>
 
==Huduma na uponyaji==