Tuzo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+Wiki Loves Monuments ZA 2014 awards 10.jpg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[File:Wiki Loves Monuments ZA 2014 awards 10.jpg|thumb|right|Mshindi wa kwanza kitaifa (Afrika kusini) katika mashindano ya Wiki Loves Monuments (WLM) 2014, Leanri van Heerden akipokea '''tuzo''' yake]]
'''Tuzo''' (kutoka [[kitenzi]] ''kutuza''; kwa [[kiingereza]] ''award'') ni [[kitu]] anachopewa [[mtu]] au [[kundi]] la watu au [[asasi]] katika kuonyesha jambo fulani la mafanikio yaliyofanyika au waliyoyafanya<ref name=free>[http://www.thefreedictionary.com/prize Prize], definition 1, The Free Dictionary, Farlex, Inc. Retrieved August 7, 2009. </ref>; tuzo maalumu kabisa hujumuisha na [[pesa]],[[medali]] au kitu kingine ambacho mtu anaweza kukivaa au kilicho katika [[umbo]] la [[mapambo]].