Krioli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Krioli''' (ing. creole language) ni jina la kutaja [[lugha]]<ref>[http://semantics.uchicago.edu/kennedy/classes/sum07/myths/creoles.pdf The study of pidgin and creole languages]</ref><ref>[http://euljss.eul.edu.tr/euljss/si526.pdf Language varieties: Pidgins and creoles]</ref><ref>[https://www.acsu.buffalo.edu/~jcgood/jcgood-JPCL.pdf Typologizing grammatical complexities, or Why creoles may be paradigmatically simple but syntagmatically average]</ref> iliyokua kutokana na kukutana na kuingiliana lugha mbili au zaidi. Inayotokana na matumizi ya [[pijini]] kwa muda mrefu. Yaani ni pijini iliyokua na kupata wasemaji wake asilia. Hivyo basi hapawezi kuwa na krioli pasipokuwa na pijini.
 
Kuna lugha za Krioli nyingi duniani. Lugha hiihizo huwa na miundo changamano. Pia inayozinayo [[msamiati]] mwingi kutoka lugha mbalimbali, jambo linaloitofautisha pakubwa na lugha asilia.
 
[[Idadi]] ya lugha za aina hiyo ni walau 100, na nyingi kati yake zimetokana na lugha za [[Ulaya]].