Krioli : Tofauti kati ya masahihisho

39 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[File:Guadeloupe creole 2010-03-30.JPG|thumb|Bango barabarani likitumia krioli ya [[Guadeloupe]].]]
'''Krioli''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: ''creole language'') ni jina la kutaja [[lugha]] yoyote<ref>[http://semantics.uchicago.edu/kennedy/classes/sum07/myths/creoles.pdf The study of pidgin and creole languages]</ref><ref>[http://euljss.eul.edu.tr/euljss/si526.pdf Language varieties: Pidgins and creoles]</ref><ref>[https://www.acsu.buffalo.edu/~jcgood/jcgood-JPCL.pdf Typologizing grammatical complexities, or Why creoles may be paradigmatically simple but syntagmatically average]</ref> iliyokua kutokana na kukutana na kuingiliana lugha mbili au zaidi kukutana na kuingiliana. InayotokanaHivyo inatokana na matumizi ya [[pijini]] kwa muda mrefu., Yaaniyaani ni pijini iliyokua na kupata wasemaji wake asilia. Hivyo basi hapawezi kuwa na krioli pasipokuwa na pijini kwanza.
 
Kuna lugha za Krioli nyingi [[duniani]]. Lugha hizo huwa na miundo changamano. Pia zinayozina [[msamiati]] mwingi kutoka lugha mbalimbali, jambo linaloitofautisha pakubwa na lugha asilia.
 
[[Idadi]] ya lugha za aina hiyo ni walau 100, na nyingi kati yake zimetokana na lugha za [[Ulaya]].