Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
 
==Usimamizi wa Wikipedia ya Kiswahili==
Kwa jumla '''shughuli za usimamizi''' ni pamoja na: kupitia mara kwa mara ukurasa wa [https://sw.wikipedia.org/wiki/Maalum:MabadalikoyaKaribuni?hidebots=1&hidecategorization=1&hideWikibase=1&limit=500&days=30&enhanced=1&urlversion=2 Mabadiliko ya Karibunikaribuni], kuangalia makala mpya na mabadiliko, kufuta spam dhahiri, kupeleka makala zisizofaa kwenye ukurasa wa ufutaji, kushiriki katika ufutaji, kukaribisha wageni. '''Kila mtumiaji anaweza kushiriki katika sehemu kubwa ya kazi hizo'''.
 
Wanawikipedia wamechaguliwa kutekeleza shughuli za pekee zisizopatikana kwa kila mtu.
 
'''Mkabidhi''' ni mhariri aneyewezaanayeweza kutumia zana za kifundi, kwa mfano, kufuta makala kabisa, kuhifadhi makala, kuzuia waharibifu na kadhalika. Mkabidhi ni msaidizi tu. Hana hukumu maalum juu ya maandishi ya makala au sera ya kamusi elezo.
 
'''Bureaucrat''' <small>''(ni neno la Kiingereza, maana yake ni mfanyakazi wa uendeshaji wa serikali au ushirika mwingine)''</small>. Ana uwezo wa kumfanya mtu kuwa mkabidhi, kubadilisha jina la mtumiaji na kuteua akaunti ya kikaragosi ("set bot flag", kwa Kiingereza).