Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 146:
===Utaratibu wa kupiga kura===
Utaratibu ufuatao umekubaliwa kati ya wakabidhi waliopo (tazama ukurasa wa majadiliano)
::a) Mwenye'''Mpiga kura''' awe aliyewahi kuandikishwa tangu mwezi 1 (hatutaki waliojiandikisha jana kwa kumpigia kura rafiki leo)
::b) aliyewahi kuhariri makala 3 kwenye swwiki (nje ya ukurasa wake mwenyewe; hatukubali watu walioingia kwa kutunga/kusahihisha makala 1 pekee)
::c) aliyehariri katika miezi 12 kabla ya kura yetu