Kimbunga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Hurricane Katrina August 28 2005 NASA.jpg|thumb|right|TufaniKimbunga ya "Katrina" juu ya Ghuba ya Meksiko - picha kutoka [[chombo cha angani]] tar. 28 Agosti 2005]]
 
'''TufaniKimbunga''' ni [[dhoruba]] kali inayoanza juu ya [[bahari]] katika maeneo ya [[tropiki]] yenye [[upepo]] mwenye kasi ya zaidi ya 117 [[km/h]].
 
Inaanza juu ya bahari ya kitropiki penye maji yenye halijoto juu ya 26 [[°C]]. Hewa joto yenye [[mvuke]] nyingi inaanza kupanda juu na kuzunguka. Mzunguko huo unaongezeka kasi kuwa dhoruba. Kasi ikifikia mwendo wa 117 km/h inaitwa tufanikimbunga.
 
TufaniVimbunga zinatokeavinatokea katika [[bahari]] zote penye maji ya moto kaskazini na kusini ya [[ikweta]].
 
Kila sehemu ya dunia kimbunga kina jina lake na majina haya yameanza kutumiwa kimataifa:
==Hatari za tufani==
*Katika eneo la Atlantiki (Karibi hasa) kimbunga huitwa hurikan (kiing. Hurricane)
Tufani inaweza kusababisha hasara kubwa ikigusa [[meli]] baharini na zaidi mwambaoni inapofikia nchi kavu au visiwa.
*katika eno la Pasifiki kimbunga huitwa taifuni (kiing. Typhoon)
*katika eneo la Bahari Hindi na penginepo jina la saikloni (cyclone) limetumiwa mara nyingi
 
==Hatari za tufaniKimbunga==
Hatari zake ni hasa kasi ya [[upepo]] pamoja na kiasi kikubwa cha [[mvua]]. Kasi ya upepo inaweza kurusha vitu vizito kama miti, paa za nyumba au magari na kuvirusha mbali. Watu huuawa na mali kuharibiwa. Uwingi wa mvua husababisha mifuriko.
TufaniKimbunga inaweza kusababisha hasara kubwa ikigusa [[meli]] baharini na zaidi mwambaoni inapofikia nchi kavu au visiwa.
 
Hatari zake ni hasa kasi ya [[upepo]] pamoja na kiasi kikubwa cha [[mvua]]. Kasi ya upepo inaweza kurushakuinua vitu vizito kama miti, paa za nyumba au magari na kuvirusha mbali. Watu huuawa na mali kuharibiwa. Uwingi wa mvua husababisha mifuriko.
 
==Majina ya tufaniVimbunga==
Vimbunga hutokea mara kwa mara katika kipindi cha joto. Wataalamu wameanza kuvipa majina kwa kurahisisha maelewano. Katika eneo la kila bahari kuna utaratibu wa pekee wa kutolea majina kwa vimbunga kufuatana na mapatano ya wanasayansi.
[[Atlantiki]] kwa mfano inaona takriban tufani kumi au zaidi kila mwaka. Zinapewa majina kufuatana [[alfabeti]]. Imekuwa kawaida tangu [[1979]] kutumia majina ya kiume na ya kike kwa kubadilishana (zamani zilipewa majina ya kike tu lakini wanawake walilalamika).
 
[[Atlantiki]] kwa mfano inaona takriban tufanivimbunga kumi au zaidi kila mwaka. ZinapewaHupewa majina kufuatana [[alfabeti]]. Imekuwa kawaida tangu [[1979]] kutumia majina ya kiume na ya kike kwa kubadilishana (zamani zilipewavilipewa majina ya kike tu lakini wanawake walilalamika).
 
Wataalamu wanatumia orodha sita ya majina hivyo jina linaweza kurudia baada ya miaka sita.
 
TufaniKimbunga ya "[[Katrina (kimbunga)|Katrina]]" iliyoharibukilichoharibu mji wa [[New Orleans]] katika Agosti 2005 ilikuwakilikuwa tufanikimbunga yacha 11 yacha mwaka [[2005]]. IlifuataKilifuata tufanikimbunga "Jose" na kufuatwa na "Lee" halafu "Maria". Kama tufanikimbunga inasababisha uharibifu mkubwa sana jina lake huondolewa katika orodha maana yake jina hili halitarudia. "Katrina" imebadilishwa kwakuwa "Katia" katika orodha ya mwaka itakayotumika mwaka 2011 (ikitokea itakuwa tufanikimbunga baada yakinachofuata "Jose" ya 2011)
 
Katika kila bahari kuna utaratibu wa pekee wa kutolea majina.
 
[[Category:Maafa asilia]]