Shah : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Shah''' (kwa [[Kiajemi]]: '''شاه''') ni [[neno]] la [[Kiajemi]] ambalo linamaanisha [[mfalme]] au [[mtawala]] wa nchi. Neno hilihilo linatumika katika nchi tofauti [[ulimwengu|ulimwenguni]], zikiwa pamoja na [[Uajemi|Iran]], [[Uhindi]], [[Pakistan]] na [[Afghanistan]] . Hivi sasa neno "Shah" linatumika kama jina la kawaida kwa watu wengi nchini Uhindi, Pakistan na Afghanistan ambao ni Wahindu, Waislamu na Wajaini. Majina mengi ya [[Uhindi|Kihindi]] ambayo yana ''Shah'' ndani yao; maarufu kati yao ni Shah Jahan, ambaye kama Mfalme wa India aliamuru kuundwa kwa [[Taj Mahal]] . Tamko katika mchezo wa [[sataranji]] ''"checkmate"'' hutokana na [[Kiajemi]] "''shah mat",'' maana yake "mfalme amekamatwa" <ref>[http://www.merriam-webster.com/dictionary/checkmate Definition and origins of Checkmate]</ref>
 
Hivi sasa neno "Shah" linatumika kama [[jina]] la kawaida kwa watu wengi nchini Uhindi, Pakistan na Afghanistan ambao ni [[Wahindu]], [[Waislamu]] na [[Wajain|Wajaini]]. Majina mengi ya [[Uhindi|Kihindi]] ambayo yana ''Shah'' ndani yake; maarufu kati yake ni Shah Jahan, ambaye kama Mfalme wa India aliamuru kuundwa kwa [[Taj Mahal]].
Neno "Shah" mara nyingi linamaanisha Mohammad Reza Pahlavi, Shah wa [[Uajemi|Iran]] kutoka 1949 hadi 1979.
 
Tamko katika [[mchezo]] wa [[sataranji]] ''"checkmate"'' hutokana na [[Kiajemi]] "''shah mat",'' maana yake "mfalme amekamatwa" <ref>[http://www.merriam-webster.com/dictionary/checkmate Definition and origins of Checkmate]</ref>
 
Neno "Shah" mara nyingi linamaanishalinatumika kumaanisha [[Mohammad Reza Pahlavi]], Shah wa [[Uajemi|Iran]] kutoka [[mwaka]] [[1949]] hadi [[1979]].
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
[[Jamii:VyeoCheo]]