Metarhizium : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza spishi
Nyongeza udhibiti wa nzige
Mstari 23:
Kabla ya mbinu za [[kimolekuli]] kuletwa mwishoni mwa [[karne]] ya 20, spishi za "Metarhizium" zilitambuliwa kwa sifa za [[kimofolojia]] (haswa [[spora]]). Spishi za asili zilijumuishwa: ''[[Metarhizium anisopliae|M. anisopliae]]'' (pamoja na [[Metarhizium majus|''M.a.'' var. ''major'']]), ''[[Metarhizium brunneum|M. brunneum]]'', ''[[Metarhizium cicadinum|M. cicadinum]]'', ''[[Metarhizium cylindrosporum|M. cylindrosporum]]'', ''[[Metarhizium flavoviride|M. flavoviride]]'', ''[[Metarhizium taii|M. taii]]'', ''[[Metarhizium truncatum|M. truncatum]]'' na ''[[Metarhizium viridicolumnare|M. viridicolumnare]]''.
 
[[Mwaka]] 2009 namna tisa za zamani zimepewa hadhi ya spishi pamoja na ''M. anisopliae'' inayojulikana sana<ref name="J.F. Bisch., Rehner & Humber (2009)">{{cite journal
| title=A multilocus phylogeny of the ''Metarhizium anisopliae'' lineage
| journal=Mycologia
Mstari 117:
 
Hakuna uhakika kuhusu swali kwamba spishi na namna nyingine za ''Metarhizium'' zina teleomorfi zao zenyewe. Inawezekana kwamba namna nyingi zimepoteza uwezo wa kuzaliana kwa kijinsia.
 
==Udhibiti wa nzige==
Katika miaka ya 1990 [[mradi]] wa [[utafiti]] wa [[LUBILOSA]] ulithibitisha kwamba ''M. acridum'' ilikuwa na [[ufanisi]] katika kuua [[nzige]] na wana wengine wa familia za [[Acrididea]] bila athari mbaya zinazopatikana katika majaribio ya nje kwa spishi zozote zisizolengwa isipokuwa [[kiwavi-hariri|viwavi-hariri]] wa [[ufugaji|kufugwa]] ''[[Bombyx mori]]''<ref>{{cite journal |last=Lomer |first=C.J. |last2=Bateman |first2=R.P. |last3=Johnson |first3=D.L. |last4=Langewald |first4=J. |last5=Thomas |first5=M. |title=Biological Control of Locusts and Grasshoppers |journal=Annual Review of Entomology |volume=46 |issue= |pages=667–702 |year=2001 |doi=10.1146/annurev.ento.46.1.667 |pmid=11112183}}</ref>. Hivi sasa inazalishwa kama [[dawa ya kibiolojia]] kwa jina "Novacrid" na [[kampuni]] ya Eléphant Vert katika [[kiwanda]] chao huko [[Meknès]], [[Maroko]]<ref>[http://en.elephant-vert.com Tovuti ya kampuni ya Elephant Vert]</ref>. Hivi karibuni (2019) kampuni hiyo hiyo ilipata [[leseni]] ya kuzalisha na kuuza [[kifundiro]] asili kilichotengenezwa na LUBILOSA, ambacho kinaitwa Green Muscle. Kifundiro cha tatu, Green Guard, kinazalishwa na BASF ya [[Australia]] kwa udhibiti wa nzige wa tauni wa Australia na panzi bila mabawa<ref>[https://www.basf.com Tovuti ya BASF]</ref>.
 
== Marejeo ==