Wikipedia:Jumuiya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 329:
 
:Binafsi nashukuru sana kwa kuchaguliwa kuwa mmoja kati ya wakadhi, na sasa nimekua na uwanja mpana kuhakikisha jamii ya sw.wikipedia inakua katika misingi mizuri na endelevu na pia nafurahi kwasababu nimeshakua na uwanja mpana wa kujifunza pia, naahidi ushirikiano pasipo shidaǃ Amani --'''[[Mtumiaji:Olimasy|Olimasy]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Olimasy|majadiliano]])''' 14:32, 15 Septemba 2020 (UTC)
 
::Hongereni sana ndugu wakabidhi wapya mliochaguliwa.Karibuni sana katika katika shughuli hii muhimu ya kuhakikisha Wikipedia ya Kiswahili inakuwa ni chanzo bora na cha kuaminika cha maudhui huru ya Lugha ya Kiswahili, kwa manufaa ya watu wote watumiawo Lugha ya Kiswahili kote duniani.--'''[[Mtumiaji:Jadnapac|Jadnapac]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Jadnapac|majadiliano]])''' 18:38, 24 Septemba 2020 (UTC)