Content deleted Content added
Mstari 16:
 
#Kabla ya kuhifadhai angalia yote kwa kubofya "Onyesha hakikisho la mabadiliko" uangalie kama jamii chini bado ni nyekundu. Katika majaribio yako ulitumia "Jamii:Wilaya ya Dodoma '''mjini'''" inayoonekana nyekundu maana jina ni kwa "M" kubwa yaani "Jamii:Wilaya ya Dodoma '''Mjini'''". Hi ni tatizo dogo kwa sababu wachangiaji mbalimbali walianzisha jamii kwa tahajia tofauti kidogo. Inafaa tuangalie ile preview hadi chini. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 15:10, 28 Septemba 2020 (UTC)
 
==Masahihisho ya Chalinze==
Kazi nyingine nyepesi: tafadhali uweke watu 2 kwenye kata za Chalinze. Karibu zote bado zinasema ni kata za Bagamoyo. Wafungue zote kwa rightclick kando-kando na kusahihisha ifuatayo:
 
Nimeandaa kata ya kwanza [[Bwilingu]]. Hatua ni mbili:
 
A) Wafungue Bwilingu na kukopi sehemu kuanzia '''Marejeo''' kwenda chini. Hii wanaweza kumwaga kwenye kila makala badala ya sehemu iliyopo sasa na kuonyesha Bagampyo.
 
B) Wasahihishe kwenye mstari wa kwanza '''"Wilaya ya Bagamoyo"''' iwe '''Wilaya ya Chalinze'''. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 20:26, 28 Septemba 2020 (UTC)