Lindi (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+Scene_in_Lindi,_Tanzania_(2).jpg #WPWP #WPWPTZ
No edit summary
Mstari 20:
 
}}
'''Lindi''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Lindi]]. [[Mfumo wa Msimbo wa Posta Tanzania|Msimbo wa posta]] ni '''651 '''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/lindi.pdf</ref>. Lindi iko mdomoni wa mto [[Lukuledi]] takriban 150&nbsp;km kaskazini ya [[Mtwara]] mwambaoni wa [[Bahari Hindi]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 41,549 <ref>[http://web.archive.org/web/20030503115556/http://www.tanzania.go.tz/census/districts/lindiurban.htm Tanzania.go.tx/census/districts/lindiurban].</ref>
 
Lindi ilikuwa kati ya miji ya Waswahili kwenye pwani la bahari[[Bahari ya Hindi]]. Mdomo wa Lukuledi ilikuwa bandari nzuri kwa ajili ya jahazi za Waswahili na pia kwa meli ndogo za zamani za ukoloni. Siku hizi haitoshi tena kwa meli kubwa.
Wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Wajerumani]] ilikuwa makao makuu ya kusini-mashariki ya Tanzania bara. Ilikuwa kituo cha Postaposta na pia cha kikosi na. 3 cha [[Schutztruppe|jeshi la Kijerumani]].
Ilibaki kitovu cha eneokusini chiniwakati ya Waingereza hadi kujengwa kwa bandari ya Mtawara. Mazao ya kibiashara yalikuwa hasa [[katani]] baadaye pia [[korosho]].
 
Maendeleo ya Lindi ilikwama kutokana na hali mbaya za barabara amabazo hazikutunzwa vizuri wakati wa uhuru. Kuna matumaini ya kwamba mipangobarabara ya barabarampya ya lami ya [[Dar es Salaam]] - Mtwara itandeleaitaleta baadanafasi ya kukamilikampya kwa darajamaendeleo laya [[mtomji Rufiji]]na mazingira yake.
==Marejeo==