Wikipedia:Ukurasa wangu na kurasa za kamusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Ukurasa wa mtumiaji''' ni ukurasa wako. '''Hapo uko huru kuandika juu yako mwenye''' unachotakaunavyopenda.
 
'''Kanuni ni tofauti katika kurasa za kawaida''' yaani '''kurasa za kamusi''' (ing.: Article space). '''Hapa ni marufuku kuandika juu yako mwenyewe'''. Kuna ruhusa moja tu: kama wewe uliandika kitabu au kutoa wimbo na kazi hii imetajwa katika gazeti kitabu au blogu, unaweza kuingiza kiungo kwa habari hii kama marejeo katika makala iliyopo tayari. Lakini usianzishe wewe mwenyewe! Ila usitumie ukurasa wako kama tangazo la kibiashara au kwa matusi dhidi ya wengine.
 
Maana hapa tuko kwenye kamusi elezo, si Facebook au mtandao wa kijamii. Sisi wachangiaji tunawasiliana kati yetu kwa kutumia kurasa za majadiliano na ukurasa wa jamii, pia kwa barua pepe.