Wikipedia:Ukurasa wangu na kurasa za kamusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Ukurasa wa mtumiaji''' ni ukurasa wako. '''HapoHumo uko huru kuandika juu yako mwenyemwenyewe''' unavyopenda.
 
'''Kanuni ni tofauti katika kurasa za kawaida''' yaani '''kurasa za kamusi''' (ing.kwa Kiingereza: Article space). '''HapaHumo ni marufuku kuandika juu yako mwenyewe'''. Kuna ruhusa moja tu: kama wewe uliandika kitabu au kutoa wimbo na kazi hiihizo imetajwazimetajwa katika gazeti, kitabu au blogu, hapo unaweza kuingiza kiungo kwa habari hiihiyo kama marejeo katika makala iliyopo tayari. Lakini usianzisheusiianzishe wewe mwenyewe! IlaWala usitumie ukurasa wako kama tangazo la kibiasharabiashara au kwa matusi dhidi ya wengine.
 
Maana hapa tukotupo kwenyekatika kamusi elezo, si Facebook au mtandao mwingine wa kijamii. Sisi wachangiaji tunawasiliana kati yetu kwa kutumia kurasa za majadiliano na ukurasa wa jamii, pia kwa barua pepe.
 
Afadhali ulizia maswali yako kwanza kwa yeyote kati yetu [[Wikipedia:Wakabidhi#Wakabidhi_.28Administrators.29|Wakabidhi]], tuko tayari kukusaidia!
 
==Kuhariri ukurasa wako==
Nenda kwa "Mapendekezo" hapo juu kwenye ukurasa wako.
 
Ukibofya hapo unaweza kuamulia tabia mbalimbali jinsi unavyoonekana na kupatikana kwa watumiaji wengine wa wikipediaWikipedia.
 
Unaweza kuchagua
* Maelezo ya kimsingimsingi (pamoja na kubadilisha neno la siri)
* Lugha
* Hitiari za barua pepe (hapa unaruhusu wengine kukuandikia email): Tunashauri ukubali; kwa kuwa anwani yako haitaonekana. Wengine wanawezawataweza kukutumia baruapepe kpitiakupitia wikipediaWikipedia pekee.
 
==Tahadhari kuhusu ukurasa wako==
'''Tahadhari moja kuhusu ukurasa wako:''' tafakari vema unachotaka kutangaza juu yako! Tafakari kama ni vema kutaja jina lako halisi. Ukifanya kazi na kuwa na mwajiri - labda itakusaidia au kuleta hasara kama bosi wako anajua unatumia muda wako kwenye wikipediaWikipedia (hasa kama unahariri kutokaukiwa ofisini! - wengine hawapendi). Basi utaamua mwenyewe!