Chama cha Jamhuri cha Marekani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 2:
'''Chama cha Jamhuri cha Marekani''' (kwa [[Kiingereza]] “'''Republican Party'''” au "Grand Old Party") ni [[chama cha kisiasa]] nchini [[Marekani]].
 
Ni kimoja kati ya vyama viwili vya kisiasa vinavyoongoza [[siasa]] ya Marekani tangu [[karne ya 20]] kikigombeanakikishindana na [[Chama cha Kidemokrasia cha Marekani|Chama cha Kidemokrasia]] katika [[mfumo wa vyama viwili]].
 
==Chanzo kama chama kilipingacha kupinga utumwa==
Kilianzishwa [[mwaka]] wa [[1854]] kwa lengo la kupinga [[utumwa]]<ref>[https://www.loc.gov/rr/main/polcon/republicanindex.html "Republican National Political Conventions 1856-2008 (Library of Congress)"], tovuti ya www.loc.gov. Archived from the original on February 20, 2019. Retrieved March 12, 2019.</ref> na mgombea wake wa uraisi[[urais]] [[Abraham Lincoln]] alishinda [[uchaguzi]] wa mwaka [[1860]]; wakati wa [[vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Marekani]] ([[1861]]-[[1865]]) [[wabunge]] wa chama hicho walibatilisha utumwa [[Sheria|kisheria]]<ref>[https://www.history.com/news/congress-passes-13th-amendment-150-years-ago Klein, Christopher. "Congress Passes 13th Amendment, 150 Years Ago"], tovuti ya history.com, archived from the original on March 30, 2019. Retrieved March 12, 2019.</ref>.
 
==Shabaha za kisiasa==
Mwelekeo wa chama ulibadilika katika [[historia]] yake; mwanzoni kilitazamiwa kusimama zaidi upande wa shabaha za [[maendeleo|kimaendeleo]]<ref>Skocpol, Theda (1993). "America's First Social Security System: The Expansion of Benefits for Civil War Veterans". Political Science Quarterly. 108 (1): 85–116. doi:10.2307/2152487. JSTOR 2152487.</ref> kama [[haki]] za [[watumwa]] wa awali, kubana athira ya [[Kampuni|makampuni]] makubwa na kulinda maeneo makubwa kama [[hifadhi ya taifa]]. Sehemu kubwa ya chama ilisimama pia upande wa haki ya [[wanawake]] ya kupiga [[kura]] iliyopitishwa mwaka [[1920]]. Katika karne ya 20 mwelekeo wa chama ulibadilika. Siku hizi siasa yake inalenga kutetea soko huria yaani ubepari bila vikomo, kupinga mabadiliko ya kiutamaduni kama kutambua haki za washoga, kutetea familia ya kimapokeo, kupinga kupandishwa kwa kodi kwa kulipa taasisi ya umma na nafasi kubwa ya serikali katika maisha ya watu. Kinapinga siasa ya kijamii inayotaka kuwasaidia maskini kupitia vyombo vya dola kikikazia wajibu wa kila mtu kujitegemea na kuwasaidia wengine kwa hiari. Chama kilisimama upande wa biashara huria ya kimataifa lakini tangu kupotea kwa tasnia nyingi kimebadilisha msimamo huu.
 
Katika karne ya 20 mwelekeo wa chama ulibadilika. Siku hizi siasa yake inalenga kutetea [[soko huria]] yaani [[ubepari]] bila vikomo, kupinga mabadiliko ya [[utamaduni]] kama kutambua haki za [[mashoga]], kutetea [[familia]] ya kimapokeo, kupinga kupandishwa kwa [[kodi]] kwa kulipa [[taasisi]] ya [[umma]] na nafasi kubwa ya [[serikali]] katika [[maisha]] ya [[watu]]. Kinapinga siasa ya kijamii inayotaka kuwasaidia [[maskini]] kupitia [[vyombo vya dola]] kikikazia [[wajibu]] wa kila mtu kujitegemea na kuwasaidia wengine kwa [[hiari]]. Chama kilisimama upande wa [[biashara]] huria ya kimataifa lakini tangu kupotea kwa tasnia nyingi kimebadilisha msimamo huo.
Katika miaka ya nyuma, hasa chini ya rais Donald Trump, Chama cha Jamhuri kimepata kura hasa ya Wakristo wa Kievangelical wanaohofia mabadiliko ya kiutamaduni na wafanyakazi weupe wanaohofia kunyimwa haki na mapato kutokana na kupotea kwa tasnia nyingi, kusogea mbele kwa wahamiaji wapya kutoka Amerika Kusini pamoja na matumizi ya pesa ya dola kwa ajili ya watu weusi.
 
Katika miaka ya nyumamwisho, hasa chini ya [[rais]] [[Donald Trump]], Chama cha Jamhuri kimepata kura hasa ya [[Wakristo]] wa Kievangelical wanaohofia mabadiliko ya kiutamaduni na [[wafanyakazi]] [[Wazungu|weupe]] wanaohofia kunyimwa haki na [[mapato]] kutokana na kupotea kwa tasnia nyingi, kusogea mbele kwa [[wahamiaji]] wapya kutoka [[Amerika Kusini]] pamoja na matumizi ya [[pesa ya dola]] kwa ajili ya [[Wamarekani weusi|watu weusiWeusi]].
==Marais==
 
==Marais==
Kulikuwa na [[Rais wa Marekani|Marais]] kumi na wanane kutoka Chama cha Jamhuri, kuanzia [[Abraham Lincoln]] ([[1861]]-[[1865]]) hadi [[George W. Bush]] ([[2001]]-[[2009]]).
 
Kuanzia tarehe [[20 Januari]] [[2017]], [[Donald Trump]] alikuwa [[rais]] wa 19 kutoka chama hicho. Alichaguliwa baada ya kupokea [[asilimia]] 46,1 pekee za kura za [[wananchi pekee]] lakini kutokana na mfumo wa uchaguzi wa rais alipata kura nyingi za wawakilishi wa kura ''(electoral college)''<ref>[https://www.huffpost.com/entry/hillary-clinton-popular-vote_n_58599647e4b0eb58648446c6?guccounter=1&guce_referrer=aHR0cHM6Ly9kZS53aWtpcGVkaWEub3JnL3dpa2kvUmVwdWJsaWthbmlzY2hlX1BhcnRlaQ&guce_referrer_sig=AQAAAK5h0Hns9YiJCck4s7yp2RDHoj4BbQCcLRmkWCDlTN7p7difnYoXRYpeY2hI1Ls_duE6MMTZdwX2pbqMjyBf8mShKKx5X0_O0hkpP4YiT4dybI8hJAbkxsJwG8EA1FEuGT88i1b6J7nfvxBgo0qkgNsA97yKgjDj5GeOHGojmtHo Final Popular Vote Total Shows Hillary Clinton Won Almost 3 Million More Ballots Than Donald Trump], tovuti ya Huffington Post ya 22.12.2016, iliangaliwa Oktoba 2020</ref>.
 
==Marejeo==