Golikipa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 42:
 
==Kipa kwenye sarafu na stampu==
[[File:2004 Austria 5 Euro 100 Years Football back.jpg|160px|thumb|miaka 100 ya soka|link=Special:FilePath/2004_Austria_5_Euro_100_Years_Football_back.jpg]]
Magolikipa wamekua wakitumika na baadhi ya wakusanyaji wa sarafu na medali, mfano sarafu ya euro 5 ya [[Austria]] ambayo ilichongwa 12 Mei 2004. Sarafu hiyo inaonesha shuti lililopigwa na mchezaji anayeonekana kwa mbali ambalo linampita golikipa (likiwa bado lipo hewani) kuelekea golini.