Ralph Bunche : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Image:Bunche.jpg|thumb|Ralph Bunche (1951)]]
 
'''Ralph Johnson Bunche''' (7 Agosti 1904 – 9 Desemba 1971) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya [[Marekani]]. Mwaka wa 1950 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani''' kwa vile aliwasaidia [[Waarabu]] na [[Waisraeli]] kusimamisha vita yao kwa muda kule [[Palestina]] mwaka wa 1949.