Dar 2 Lagos : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Nimesahisha neno
Mstari 22:
| ikafuatiwa_na =
}}
''''{{PAGENAME}}''' ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2006 kutoka nchini [[Tanzania]]. Ndani yake anakuja [[Mercy Johnson]], [[Steven Kanumba]], [[Bimbo Akintola]], David Manento, [[Nancy Okeke]], [[Blandina Changula|Blandina Changula]],Abdul Ahmed na [[Emmanuel Myamba]]. Hii ni filamu ya kwanza kutoka Tanzania yenye kushirikisha wasanii kutoka [[Nigeria]]. Tangu hapa, ikawa kawaida sana kwa Kanumba kushirikiana na wasanii wa Nigeria. Filamu imeongozwa na [[Femi Ogedegbe]] kutoka Nigeria na kutayarishwa na Mtitu Game. Muswaada andishi ni kazi ya Kanumba ambaye ndiye aliyetunga hadithi ya filamu huu. Filamu inahusu ndugu wawili wa baba mmoja lakini mama tofauti wanajikuta wanaweka mahusiano ya kimapenzi, hatimaye wanajua kuwa wao ni ndugu na suala la ndoa linakufia hapo. <ref>[http://www.bongocinema.com/movies/view/dar-2-lagos {{BASEPAGENAME}}] katika [[Bongo Cinema.com]]</ref> Filamu imetengenezwa na Game First Quality Production ya [[William Mtitu]]. Filamu ilizinduliwa katika ukumbi wa [[Diamond Jubilee]] jijini [[Dar es Salaam]] kwa burudani mbalimbali kutoka kwa saniiwasanii tofauti wa maigizo na muziki wa dansi walikuwepo [[Twanga Pepeta]] na Twanga Chipolopolo.<ref>[http://gallus-tz.blogspot.com/2006/11/filamu-ya-kimataifa-ya-kanumba.html uzinduzi wa {{PAGENAME}}] [[Dar es Salaam]] mnamo [[30 Novemba]], [[Diamond Jubilee]].</ref>
==Hadithi==
Filamu inaanza Kanumba anaingia duka la kuuza DVD tayari kwa kupata nakala kwa ajili ya kujitafutia riziki yake. Anachukua mzigo kisha anarudi kijiweni kwake na kugawiana na wenziwe ili kila mmoja akajifutie. Baadaye anaonekana Kelvin (Abdul Ahmed) akipigana na mmoja kati ya watu ambao Kanumba anawatumia kuuza CD. Anaamulia ugomvi ule na kuwafanya waondoe hasira zao na kuwa furaha. Jambo hili linamvutia Mzee Maganga (Manento) na kumsifu aendelee na moyo huo. Nyumbani kunaonekana malumbano ya kwenda kazini kati ya Kelvin na Kanumba, hatima Kelvin kagoma licha ya kusaidiwa. Kanumba aliyechangikiwa anaongea peke yake njiani akitafakari ya Kelvin, pembezoni mwa mtaa Mzee Maganga anamwona na kumsimamisha Kanumba.