Titanic : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Tazama pia: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|az}} (6) using AWB (10903)
Maandishi yaliyokuwepo yalichukuliwa nafasi na 'Yote hayo yalitokana na uzembe mkubwa uliofanya na aliyekuwa zamu wakati kuangalia njia kwa bionocler baada ya kuchelewa kutoa taarifa kwa sekunde...'
Tags: Replaced Reverted Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
Yote hayo yalitokana na uzembe mkubwa uliofanya na aliyekuwa zamu wakati kuangalia njia kwa bionocler baada ya kuchelewa kutoa taarifa kwa sekunde 40 kuwa kuna kilima cha barafu mbele
{| class="infobox" align="right" cellpadding="2" cellspacing="0" width="300" style="margin-left:5px"
|align="center" colspan="2"|[[Picha:RMS Titanic sea trials April 2, 1912.jpg|300px]]<br /><small>''Titanic'' ilipotoka bandari ya [[Belfast]] kwa safari za kwanza za majaribio [[2 Aprili]] [[1912]].</small>
|-
! style="color: white; height: 30px; background: gray;"| Habari za meli
! style="color: white; height: 30px; background: gray;"| [[Picha:Government Ensign of the United Kingdom.svg|48px|British Blue Ensign]]
|-
|'''Wenye meli''':
|White Star Line
|-
|'''Wajenzi''':
|Harland and Wolff shipyard, Belfasted
|-
|'''[[Nahodha]]''':
|Edward John Smith
|-
|'''Imeanzishwa''':
| [[31 Machi]] [[1909]]
|-
|'''Imepelekwa maji''':
| [[31 Mei1]] [[1911]]
|-
|'''Safari ya kwanza''':
| [[10 Aprili]] [[1912]]
|-
|'''Mwisho wa huduma''':
| Iligongana na [[siwa barafu]] tar. [[13 Aprili]] [[1912]] ikazama baada ya masaa 3 tar. [[15 Aprili]] 1912
|-
!colspan="2" style="color: white; height: 30px; background: gray;"| Takwimu
|-
|'''Ukubwa wa meli''':
| 46,328&nbsp;[[tani GT]]
|-
|'''urefu''':
| 269&nbsp;m
|-
|'''Kina''':
| 10.5&nbsp;m
|-
|'''Mbio''':
| Kwa kawaida mnamo 26 [[km/h]], hadi 44 [[km/h]]
|-
|'''Mtindo wa kusogeza meli''':
|[[Rafadha]] mbili za mikono mitatu, rafadha moja ya kati yenye mikono minne
|-|-
|'''Idadi ya abiria (safari ya kwanza)''':
|''1912'' - jumla 2,208<br />
* '''Daraja la kwanza''': 324
* '''Daraja la pili''': 285
* '''Daraja la tatu''': 708
* '''Mabaharia''': 891
** '''Abiria na mabaharia waliookelewa''': takriban 700
** '''Abiria na mabaharia waliokufa''': takriban 1,500
|}
 
'''Titanic''' ilikuwa [[meli]] kutoka [[Uingereza]] iliyojengwa kati ya 1909 na 1912 huko [[Belfast]]. Wakati ule ilikuwa meli kubwa duniani pamoja na mwenzake "Olympic".
 
Ilipangwa kuzunguka kwenye [[Atlantiki]] kati ya Uingereza na [[Marekani]].
 
Kwenye safari yake ya kwanza iligongana na [[siwa barafu]] tar. 14 Aprili 1912 mnamo saa sita kasorobo usiku ikazama baada ya masaa 2 na dakika 40 katika usiku wa tar. 15. Aprili.
 
Watu 2200 walikuwepo kwenye meli. Katika maji baridi takriban 1500 walikufa ni 700 waliookolewa na meli zilizokimbia kuokoa watu.
 
Ajali ya Titani ilionyesha kasoro nyingi katika sheria kuhusu ujenzi wa meli na vifaa kama idadi maboti madogo ya dharura na sheria zilibadilishwa baadaye.
1997 [[Titanic (filamu 1997)|filamu juu ya kuzama kwa Titanic]] ilitolewa ikapata sifa nyingi.
 
== Tazama pia ==
* [[Titanic (filamu 1997)]]
 
{{commons}}
 
{{mbegu-historia}}
 
[[Jamii:Meli]]
[[Jamii:Maafa|Titanic]]