Uprogramishaji kiviumbile : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
Katika [[utarakilishi]], '''uprogramishaji kiviumbile''' (kwa [[kiingereza]]: ''object-oriented programming'') ni [[aina ya uprogramishaji]] ambapo [[Programu ya kompyuta|programu]] zinaumbwa na kuzingatia kuhusu [[viumbile]] (vipengelee vya lugha za programu).
 
Kwa mfano, uprogamishaji kiviumbile unatumika kwenye [[lugha ya programu|lugha za programu]] kama [[Python (Lugha ya programu)|Python]] au [[JavaScript]].
 
== Marejeo ==