Abiria : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:NaraStationPlatform0297.jpg|thumb|
'''Abiria''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]] عبر ''ˁabara'' kwa maana ya kuvuka eneo la [[maji]]) ni [[watu]] wanaosafiri kwa kupanda [[meli]], [[Ndege (uanahewa)|ndege]], [[gari]], [[basi]], [[pikipiki]] au [[treni]].
Abiria hutumia vyombo
Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani cha [[nauli]] ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa [[dereva]] na wahudumu wengine
{{mbegu-mtu}}
[[Jamii:Watu]]
[[Jamii:Usafiri]]
|