Chungwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Sahihisho
Mstari 2:
[[Picha:Oranges - whole-halved-segment.jpg|thumb]]
[[Picha:Navel orange sectioned.jpg|thumb|Chungwa bivu]]
'''Chungwa''' ni [[tunda]] la [[mchungwa]]. [[Jina la kisayansi]] ni Citrus aurantium L. var. sinensis L. au Citrus sinensis (L.) Osbeck kwenye [[Familia (biolojia)|familia]] ya [[Rutaceae]]. Tunda lifahamikalo kisayansi kama Citrus sinesis huitwa chungwa tamu ili kutofautisha na Citrus aurantium, chungwa chungu. Chungwa ni [[mahulusi]] kati ya [[pomelo]] (Citrus maxima) na [[mandarinchenza]] (Citrus reticulata).
 
Mti wake mdogo utoao maua hufikia urefu takribani mita kumi na majani yake yasiyokauka muda wote.