Cheusi Mtungi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Naendelea kuboresha. My first article using my MAC-BOOK-PRO from Wikimedia. Thanks Kipala and all guys who make sured I get this masterpiece to my hand. It's a bit complicated, but I will ultimately get used to it.
sarufi
Mstari 35:
| imdb_id =
}}
'''Cheusi Mtungi''' ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya [[Siri ya Mtungi]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Uhusika umechezwa na [[Godliver Gordian]]. Cheusi ni mke halali wa [[Cheche Mtungi]]. Anapitia magumu mengi kwenye ndoa yake lakini anayatatua kwa aina yake. Sifa kuu ya Cheusi ni uvumilivu wake katika ndoa - hasa ukizingatia mumewe ni mtu wa wanawake sana. Sifa nyengine aliyonayo ni pamoja na upole na unyenyekevu kwa mume na mama yake mzazi [[Bi. Mwanaidi]]. Hapendi kuyumbishwa kwa ndoa yake na mtu yeyote yule hata kama ni mama yake mzazi ndiye myumbishaji.<ref>[http://www.siriyamtungi.com/index.php?option=com_k2&view=item&id=4:cheusi-mtungi&Itemid=113 {{PAGENAME}}] katika wavuti rasmi ya [[Siri ya Mtungi]].</ref> Kwa upande wa familia aliyozaliwa, yeye ni mtoto wa kwanza wa Bi. Mwanaidi ambaye ni mke wa pili wa [[Mzee Kizito]]. Cheusi ni dada wa [[Shoti]], ambaye anaonekana kidogo kuwa na kautahira.
==Tazama pia==
*[[Cheche Mtungi]]