Visiwa vya Aleuti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '300px|thumb|Ramani ya upinde wa Visiwa vya Aleuti kati ya Alaska na Siberia '''Visiwa vya Aleuti''' (Kiingereza: ''Aleut...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Karte Aleuten-Vulkanbogen.png|300px|thumb|Ramani ya upinde wa Visiwa vya Aleuti kati ya Alaska na Siberia]]
'''Visiwa vya Aleuti''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Aleutian Islands'', kwa [[lugha]] ya Wazalendowazawa: ''Tanam Unangaa'') ni safu ya [[visiwa]] 150 hivi vyenye [[asili]] ya [[Volkeno|kivolkeno]] katika [[kaskazini]] yamwa [[Bahari Pasifiki]].
 
Vinaenea kwa [[kilomita za mraba]] 17,666 na safu hiyo ina [[urefu]] wa [[kilomita]] 1900 kutoka [[rasi ya Alaska|Rasi ya Alaska]] ([[Marekani]]) hadi [[Rasi ya Kamchatka]] katika [[Siberia]] ([[Urusi]]). Upinde wa visiwa hivyo unatenganisha [[Bahari ya Bering]] na sehemu nyingine ya Bahari Pasifiki.
 
Mara nyingi hugawiwa kwakatika makundi kama vile (kuanzia [[Rasi ya Alaska]]) [[Fox Islands (Alaska)|Fox Islands]], [[Islands of Four Mountains]], [[Andreanof Islands]], [[Rat Islands]], [[Near Islands]] upande wa marekaniMarekani, halafu [[Visiwa vya Komandorski]] upande wa Urusi.
 
Kila kisiwa ni [[mlima]] wa volkeno unaeneaunaoenea juu ya uso wa [[bahari]]. Safu hii imetokea kama sehemu ya [[pete ya moto]] ya Pasifiki; hapa [[bamba la Pasifiki]] linasukumwa chini ya [[bamba la Amerika Kaskazini]] na hivi kusababisha nafasi kwenye [[koti la dunia]] inayowezesha [[joto]] na [[magma]] kupanda juu.
 
Upande wa Alaska kuna wakazi wasiozidi 8.,200 wanaoishi kwenye visiwa 7. Sehemu ya Kirusi huitwa [[Visiwa vya Kamanda]] (au Komandorski) penyeyenye wakazi 800 hivi kwenye [[Kisiwa cha Bering]].
 
== Viungo vya Nje ==
Mstari 16:
[[Jamii:Visiwa vya Pasifiki]]
[[Jamii:Visiwa vya Alaska]]
[[Jamii:Visiwa vya Urusi]]