Mtume Filipo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
{{Yesu Kristo}}
'''Filipo''' (kwa [[Kigiriki]] Φίλιππος, ''Philippos'') ni [[jina]] la [[mfuasi]] wa [[Yesu Kristo]] anayeshika nafasi ya tano katika orodha zote nne za [[Mitume wa Yesu]] katika [[Agano Jipya]].
 
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]] na [[Kanisa Katoliki]] na [[madhehebu]] mengine yote ya [[Ukristo]] yanayokubali [[heshima]] hiyo, lakini kwa [[tarehe]] tofauti. Kwa Wakatoliki ni tarehe [[3 Mei]]<ref>''Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum'', Romae 2001, ISBN 8820972107</ref>
 
==Maisha==
Line 17 ⟶ 19:
 
[[Eusebi wa Kaisarea]], katika ''Historia ecclesiastica'', iii.39, aliripoti maneno ya [[Papias]], [[askofu]] wa [[Hierapoli]] kwamba Filipo alikuwa na [[mke]] na watoto na kwamba alifia dini Hierapolis (mwaka [[80]] hivi).
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]] na [[Kanisa Katoliki]] na [[madhehebu]] mengine yote ya [[Ukristo]] yanayokubali heshima hiyo, lakini kwa tarehe tofauti.
 
==Tazama pia==
Mstari 25:
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Marejeo==
Line 35 ⟶ 38:
* [http://www.catholic-forum.com/Saints/saintp21.htm Catholic Forum: ''St. Philip'']
* [http://ocafs.oca.org/FeastSaintsViewer.asp?SID=4&ID=1&FSID=103299 Holy, All-Praised Apostle Philip] Orthodox [[icon]] and [[synaxarion]]
 
{{mbegu-mtu-Biblia}}
[[Jamii:Waliozaliwa karne ya 1]]