Chamkano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
picha
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 1:
[[Picha:Cake fractions.svg|thumbnail|Machamkano ya nusu na robo kwa mfano wa keki]]
'''Chamkano''' ([http://ing. ing.] {{Wayback|url=http://ing./ |date=20150324192146 }} ''fraction'') ni namna ya kutaja sehemu sawa za jumla fulani katika lugha ya hisabati.
 
Mifano ya machamkano katika maisha ya kawaida ni [[nusu]], [[theluthi]], [[robo]]. Tunaweza kutaja theluthi mbili, robo mbili ambayo ni sawa na nusu au robo tatu.