Maporomoko ya maji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 10:
 
Pale ambako mwendo wa maji ni juu ya mwamba mgumu [[mmomonyoko]] hutokea polepole tu. Pale yanapofikia mahali ambako mwamba mgumu wa juu unakwisha nguvu ya maji yakitelemka kwenye ukingo inachimba lalio ya chini.
Chini ya ukingo hutokea dimbwi yenye kizingia cha maji. Maji yanayozunguko humo pamoja na mawe na mchanga ndani yake yanasuguana kwenye ukuta wa mwamba. Kwa njia upeno au nusu pango hutokea. Kama kuna mwamba laini chini ya takaba ya mwamba mgumu wa juu upanuzi wa pango unaendelea haraka zaidi. Baada ya muda upeno unakatika na kuanguka.<ref>[{{Cite web |url=http://geography.howstuffworks.com/terms-and-associations/waterfall.htm/printable |title=How waterfalls work] |accessdate=2015-05-18 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20100921080941/http://geography.howstuffworks.com/terms-and-associations/waterfall.htm/printable |archivedate=2010-09-21 }}</ref>
 
Kwa njia hii ukingo wa maporomoko unarudi nyuma na kurudisha njia ya korongo nyuma. Kasi ya harakati inategemea na tabia za mwamba unaopatikana. Kuna maporomoko yanayorudi nyuma mita na nusu kila mwaka.<ref>[http://www.classzone.com/books/earth_science/terc/content/visualizations/es1305/es1305page01.cfm?chapter_no=visualization Observe river erosion creating waterfalls and chasms]</ref>