Tofauti kati ya marekesbisho "Rusu (mnyoo)"

5 bytes added ,  mwezi 1 uliopita
Masahihisho
(Ukurasa mpya)
 
(Masahihisho)
| bingwa_wa_spishi = ([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758)
}}
'''Rusu''' (''Enterobius vermicularis'') ni spishi ya [[mnyoo]] [[kidusia]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Oxyuridae]] katika [[faila]] [[Nematoda]] anayeishi katika [[utumbo mkubwampana]] wa [[binadamu|watu]]. Husababisha [[mwasho]] katika eneo la [[mkundu]]. Ambukizo la rusu linaitwa [[enterobiasisi]].
 
==Mofolojia==
[[Mzunguko wa maisha|Mzunguko mzima wa maisha]], kutoka yai hadi mpevu, hufanyika katika mfereji wa [[utumbo]] wa [[kidusiwa]] mmoja na hudumu [[wiki]] 2-6. Rusu hubambua mara nne: mara mbili za kwanza ndani ya yai kabla ya kutoka na mara mbili kabla ya kuwa mnyoo mpevu.
 
Ingawa maambukizo mara nyingi hutukia kupitia kumeza mayai yenye viinitete kwa sababu ya watu hawanawi mikono ya kutosha au kung'ata [[ukucha (anatomia)|kucha]], kuvuta mayai ndani ya [[hewa]] ikifuatiwa na kuyameza, kunaweza kutokea mara chache. Mayai hutoa lava kwenye [[mbuti]] (yaani, sehemu ya kwanza ya [[utumbo mdogomwembamba]]). Lava wa rusu wanaoibuka hukua haraka hadi saizi ya µm 140-150 na huhama kupitia utumbo mdogomwembamba kuelekea [[utumbo mpana]]. Wakati wa uhamiaji huo, hubambua mara mbili na kuwa wapevu. Majike wanaishi kwa wiki 5-13 na madume karibu wiki 7. Rusu wa kiume na wa kike hupandana katika [[ileamu]] (yaani sehemu ya mwisho ya utumbo mdogomwembamba), kisha rusu wa kiume hufa kwa kawaida na hupitishwa na [[kinyesi]]. Rusu wa kike wenye mayai hukaa kwenye ileamu, [[sikamu]] (yaani, mwanzo wa [[utumbo mkubwampana]]), [[kiambatishokibole]] na utumbo mpana unaoinuka, ambapo hujiunga na [[kiwambo-ute]] na kumeza yaliyomo ndani ya utumbo mpana.
 
Takriban mwili mzima wa jike hujazwa na mayai. [[Kadirio|Makadirio]] ya idadi ya mayai kwenye rusu wa kike yanaenda kutoka 11,000 hadi 16,000. [[Mchakato]] wa kutaga mayai huanza takriban wiki tano baada ya kumeza mayai ya rusu na binadamu kidusiwa. Rusu wa kike huhamia kupitia utumbo mpana kuelekea kwenye [[puru]] kwa kasi ya sm 12-14 kwa saa. Wanaibuka kutoka kwenye [[mkundu]] ili kupata [[oksijeni]] kwa kukomaa kwa mayai au ili kutaga mayai. Kusogea kwao kwenye [[ngozi]] karibu na mkundu husababisha mwasho. Majike hutaga mayai ama kupitia (1) kufupisha na kufukuza mayai, na kufa baadaye, (2) kufa na kisha kusambaratika au (3) kupasuka kwa sababu ya kukuna rusu na kidusiwa.
10,639

edits