Vita ya Umoja wa Kisovyeti dhidi ya Finland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Finn_ski_troops.jpg|thumb| Vikosi vya skii vya Kifini.]]
'''Vita ya Umoja wa Kisovyeti dhidi ya Finland''' ilipiganiwailipigwa kuanzia  [[Novemba]] [[1939 ]] hasi [[Machi]] [[1940]]. Ilhali ilipiganiwa katika miezi ya [[baridi]] inaitwa pia "Vita ya msimu wa baridi" (kwa [[Kifini]]: ''talvisota'', kwa [[Kiswidi]] ''vinterkriget'', kwa [[Kirusi]] Зимняя война ''zimnyaya voina''). )
 
Chanzo chake kilikuwa madai ya [[serikali]] ya [[Umoja wa Kisovyeti]] kukabidhiwa maeneo ya [[Ufini]] yaliyokuwa karibu na [[mji]] wa [[Leningrad]] (leo Sankt Peterburg). Baada ya Ufini kukataa, [[Jeshi Jekundu]] lilishambulia nchi jirani kwenye [[tarehe]] [[30 Novemba]] 1940.
 
[[Uongozi]] wa Kisovyeti ulitarajia [[ushindi]] wa haraka katika [[wiki]] chache, kwa sababu Jeshi Jekundu lilikuwa na [[Kifaru (jeshi)|vifaru]], [[mizinga]] na [[Ndege (uanahewa)|ndege]] nyingi zaidi kuliko [[jeshi]] la Kifini.
[[Picha:Raate road.jpg|thumb|Vifaru, malori na maiti ya kisovyeti mwaka 1940.]]
Walakini, vikosi vya Kifini vilijitetea kwa nguvu na kwa muda mrefu kuliko ilivyotarajiwa. Sababu moja ya vikosi vya Kifini kufanya vizuri zaidi ni kwa sababukwamba walikuwa na [[nguo]] nzuri za [[msimu wa baridi]] na walivaa [[kanzu]] [[nyeupe]] ambazo zilikuwa [[kamafleji]] bora katika [[theluji]]. Vile vileVilevile, [[wanajeshi]] Wafini walizunguka wakitumia [[skii]] zilizowapa mwendo wa haraka kulingana na Warusi waliotembea kwa [[miguu]]. Vilevile wanajeshi Warusi walikosa nguo za msimu baridi na [[sare]] za kuvaa [[rangi]] ya [[kijani]] ambazo ziliwafanya rahisi kuonekana katika theluji. Kwa jumla matatizo upande wa Kisovyeti yalionyesha uhaba wa viongozi wenye maarifa, kwa sababu [[serikali]] ya [[Stalin]] iliwahi kuendesha takaso ya kisiasa kati ya [[Jenerali|majenerali]] ambakoambao wengi walitupwa katika kambi za jela au kuuawa.
 
Hata hivyo, katika mwezi wa Februari 1940, Jeshi Jekundu lilishambulia upya na kuvunja utetezi wa Wafini. Wafini waliomba amani. Stalin alikubali bila kufikia shabaha zake zote kwa sababu alihofia kuingilia kati kwa Uingereza; pia viongozi wa Kijeshi waliogopa mwisho wa baridi na kutokea kwa matope wakati ardhi iliyoganda inayeyuka, hali ambayo ingesimamisha vifaru na magari.
 
Tarehe 13 Machi 1940 pande zote mbili zilitia sahihi mkataba wa amani; Ufini ulipaswa kukabidhi asilimia 11 za eneo lake kwa Umoaj wa Kisovyeti, hasa maeneo ya [[Karelia]].
 
Hata hivyo, katika mwezi wa Februari 1940, Jeshi Jekundu lilishambulia upya na kuvunja utetezi wa Wafini. Wafini waliomba [[amani]]. Stalin alikubali bila kufikia shabaha zake zote kwa sababu alihofia kuingilia kati kwa [[Uingereza]]; pia viongozi wa Kijeshi waliogopa mwisho wa [[baridi]] na kutokea kwa [[matope]] wakati ardhi iliyoganda inayeyuka, hali ambayo ingesimamisha vifaru na magari.
 
Tarehe [[13 Machi]] 1940 pande zote mbili zilitia [[sahihi]] [[mkataba]] wa amani; Ufini ulipaswa kukabidhi [[asilimia]] 11 za eneo lake kwa UmoajUmoja wa Kisovyeti, hasa maeneo ya [[Karelia]].
[[Picha:Finnish areas ceded in 1940.png|thumb|Nyekundu: Maeneo yaliyohamishwa kutoka Ufini kwenda Umoja wa Kisovyeti baada ya vita]]
 
== Kurasa zinazohusiana ==
 
* [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia|Vita vya Pili vya Dunia]]
 
Line 25 ⟶ 23:
 
== Tovuti zingine ==
{{commonscat-inline|Winter War}}</img>
{{mbegu-historia}}
[[Jamii:Vita Vikuu vya Pili]]
[[Jamii:Historia ya Ufini]]
[[Jamii:Historia ya Urusi]]