Kata (chombo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
''--Kwa kata kama jina la ngazi ya utawala tazama [[kata (eneo)]]--''
 
'''Kata''' ni chombo maalum kitumiwacho na [[makabila]] mengi nchini [[Tanzania]], hasa na [[Wachagga]] huko mkoani [[Mkoa wa Kilimanjaro|Kilimanjaro]]. Kata hutumika kunywea [[pombe]] iitwayo [[mbege]].
 
===Matengenezo===
Kata hutengenezwa kwa kutumia [[matunda]] jamii ya [[tikiti]] yaitwayo [[kibuyu|vibuyu]]. Matunda hayahayo hukatwa katikati kisha hutolewa nyamanyama za ndani ili kupata uwazi ambao baada ya tunda kukaushwa hupatikana aina ya kikomekikombe kizito ama kwa jina kibuyu. Kikombe hikihicho kikiisha kukauka hutobolewa kwa upana matundu mawili ambayo hukobekwa kijiti kirefu kitumikacho kama mshikio wa kata.
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
 
[[Category:Vifaa]]