Kiungo (chakula) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tag: 2017 source edit |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Spices1.jpg|thumb|
'''Kiungo cha chakula''' ni kiolezi kinachotia ladha au harufu maalumu katika [[chakula]]. Mifano yake ni [[Chumvi (kemia)|chumvi]], [[kitunguu]], [[iliki]], [[karafuu]] au [[pilipili]].
Viungo vingi ni mbegu, matunda, majani au mizizi ya [[mimea]] mbalimbali ambako ladha inayotafutwa inapatikana.
[[Jamii:Chakula]]
|