Imam Muslim : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 1:
'''Muslim ibn al-Hajjaj''' alijulikana zaidi kama '''Imam Muslim''' (815 - 875)<ref>Abdul Mawjood, Salahuddin `Ali (2007). The Biography of Imam Muslim bin al-Hajjaj. translated by Abu Bakr Ibn Nasir. Riyadh: Darussalam. {{ISBN| 9960988198}}.</ref>.
 
Kina lake kamili lilikuwa '''Abu al-Husayn ‘Asakir ad-Din Muslim ibn al-Hajjaj ibn Muslim ibn Ward ibn Kawshadh al-Qushayri an-Naysabūrī.'''
 
Anajulikana kwa mkusanyiko wake wa [[Hadithi za Mtume Muhammad]] unaokubaliwa kuwa mkusanyiko muhimu pamoja ule ya Al-Bukhari. Unajulikana kama Sahih Muslim<ref>A.C. Brown, Jonathan (2014). Misquoting Muhammad: The Challenge and Choices of Interpreting the Prophet's Legacy. Oneworld Publications. p. 257. {{ISBN| 978-1780744209}}. [...] the Sahihayn, the two authentic Hadith compilations of Bukhari and Muslim bin Hajjaj that Sunni Islam has long declared the most reliable books after the Qur'an.</ref>.
 
Muslim alizaliwa Nishapur katika mkoa wa Khorasan, iliyopo katika Iran ya kaskazini-mashariki ya leo. Kufuatana na mapokeo alikuwa Mwajemi au Mwarabu<ref>Frye, ed. by R.N. (1975). The Cambridge history of Iran (Repr. ed.). London: Cambridge U.P. p. 471. {{ISBN| 978-0-521-20093-6}}.</ref> .