Robert Fulton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Fulton.jpg|thumb|Robert Fulton]]
[[Picha:Robert Fulton Clermont cropped.jpg|thumb|Meli ya Fulton]]
'''Robert Fulton''' ([[14 Novemba]] [[1765]] - [[25 Februari]] [[1815]]) alikuwa [[mhandisi]] na [[mvumbuzi]] wa [[Marekani]] aliyebuni na kutengeneza [[meli ya mvuke]] iliyokuwa ya kwanza iliyofaulukufaulu kiuchumi.
 
Fulton alifanya [[kazi]] katika [[Ulaya]], yaani [[Ufaransa]] na [[Uingereza]], alipohusika katika shughuli mbalimbali za uhandisi, pamoja na majaribio ya kutumia [[injini ya mvuke]] kwa [[Boti|maboti]] na [[mashua]].
 
Mnamo [[mwaka]] [[1806]] alirudi Marekani alipopewa kazi ya kutengeneza meli ya mvuke kwa [[usafiri]] wa [[abiria]] na mizigo kwenye [[mto Hudson]] kati ya [[New York]] na [[Albany, New York|Albany]].
 
Hii ilikuwa meli ya mvuke ya kwanza iliyoweza kutekeleza shughuli zake bila matatizo na kufaulu kiuchumi.
 
Kaunti ya Fulton (kata katika [[Georgia (jimbo)|jimbo la Georgia]]) iliitwa [[jina]] lake.
 
==Marejeo==
Mstari 17:
{{commons category}}
{{Wikisource1911Enc|Fulton, Robert |volume=11 |page=300 |short=x}}
* {{cite EB1911|wstitle=Fulton, Robert}}
* [http://www.fieldtrip.com/pa/75482679.htm Robert Fulton Birthplace]
* [https://web.archive.org/web/20110929113815/http://www.yorkblog.com/cannonball/2010/11/fultons-folly-changed-transpor.html Photos of Fulton's Birthplace]
Line 29 ⟶ 28:
* [https://www.c-span.org/video/?166459-1/fire-genius ''Booknotes'' interview with Kirkpatrick Sale on ''The Fire of His Genius: Robert Fulton and the American Dream'', November 25, 2001.]
*[http://lhldigital.lindahall.org/cdm/ref/collection/eng_tech/id/3891 Collection of Robert Fulton manuscripts] – digital facsimile from the [[Linda Hall Library]]
{{mbegu-mwanasayansi}}
 
 
 
 
[[Jamii:Waliofariki 1815]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1765]]