Kuua kwa kukusudia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Murder Rio.JPG|thumb|Polisi kwenye mahali pa uuaji kwa kusudi mjini Rionde Janeiro, Brazil]]
'''Kuua kwa kukusudia''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: '' murder'') ni kosa la [[jinai]] kadiri ya [[sheria]] ambakoambapo mtu mmoja anasababisha [[kifo]] cha mtu mwingine kwa kusudimakusudi na kwa nia mbaya.
 
==Katika sheria za Tanzania==
Sheria ya [[Tanzania]] inafafanulia: ''"Mtu yeyote ambaye, kwa dhamira ya uovu, anasababisha kifo cha mtu mwingine kwa kitendo kisicho halali au kuacha kutenda ana hatia ya kuua kwa kukusudia."''<ref>Kiingereza: "Any person who, with malice aforethought, causes the death of another person by an unlawful act or omission is guilty of murder." Tanzania Proncipal Legislation, Chapter 16, The Penal Code, Chapter XX, Muder and manslaughter, ss. 196. [https://www.un.org/depts/los/LEGISLATIONANDTREATIES/PDFFILES/TZA_penal_code.pdf online hapa]</ref>
 
Adhabu ya kuua kwa kukusudia ni [[adhabu ya kifo]]<ref>Ss 197.</ref>, ingawa adhabu hiyo haikutekelezwahaijatekelezwa tena Tanzania tangu [[mwaka]] [[1994]]<ref>[https://www.pgaction.org/ilhr/adp/tza.html Tanzania and the Death Penalty], tovuti ya PGA - Parlamentarians for Global Action, iliangaliwa February 2021</ref>, nchini [[Kenya]] tangu 1987, Uganda tangu 2005 https://www.pgaction.org/ilhr/adp/uga.html<ref>[https://www.pgaction.org/ilhr/adp/uga.html Uganda and the Death Penalty], tovuti ya PGA - Parlamentarians for Global Action, iliangaliwa February 2021</ref>. [[Idadi]] ya nchi zilizofuta [[adhabu ya mautikifo]] inazidi kuongezeka<ref>[https://achpr.org/public/Document/file/English/study_question_deathpenalty_africa_2012_eng.pdf [https://achpr.org/public/Document/file/English/study_question_deathpenalty_africa_2012_eng.pdf] Study on the question of the Death Penalty in Africa], African Commission on Human and Peoples’ Rights , Banjul, The Gambia</ref>.
 
Katika sheria za kisasa uuaji kwawa kusudimakusudi hutazamiwahutazamwa kama jinai dhidi ya [[jamii]] unaopaswa kuadhibiwa na [[dola]]. Katika mifumo ya sheria ya kimapokeo ulitazamiwaulitazamwa mara nyingi kama jambo la kibinafsibinafsi, pia kwa kutotofautisha kati ya uuajikuua kwa kusidikusudi auna bila kusudi; hapo [[ukoo]] wa aliyeuawa alikuwa na [[haki]] ya kulipiza [[kisasi]] kwa kumwua muuaji au [[ndugu]] wake. Ili kupakana marudio ya kisasi mifumo mingi ya kimapokeo ilijua pia malipo ya [[fidia]].
 
Mfumo wa fidia unapatikana katika nchi kadhaa (mfano [[Iran]], [[Saudia]], [[Pakistan]]) zinazofuata [[sharia ya Kiislamu]] ambako ni juu ya familia ya aliyeuawa kuamua kuhusu fidia au utekelezaji wa hukumuadhabu ya kifo.
 
==Marejeo==
Line 21 ⟶ 22:
* [https://www.cdc.gov/nchs/products/other/atlas/atlas.htm Atlas of United States Mortality] – U.S. Centers for Disease Control
* [http://www.liverpoolmuseums.org.uk/picture-of-month/displaypicture.aspx?id=141 Cezanne's depiction of "The Murder"] – National Museums Liverpool
{{mbegu-sheria}}
 
[[Jamii:Maadili]]
 
[[Jamii:Makosa ya jinai]]