Oksidi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Oksidi''' ni kampaundi ya kikemia yenye angalau atomu 1 ya oksijeni pamoja na angalau atomu moja wa elementi nyingine. Mifano ya oksidi ni pamo...'
Tag: 2017 source edit
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:32, 24 Februari 2021

Oksidi ni kampaundi ya kikemia yenye angalau atomu 1 ya oksijeni pamoja na angalau atomu moja wa elementi nyingine.

Mifano ya oksidi ni pamoja na:

Metali nyingi hupatikana kama mitapo ambamo metali kama chuma inapatikana kwa umbo la oksidi.