Mtapo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
picha
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 1:
[[Picha:IronBanded oresiron Bayog ZDSformation.jpg|thumb|Mtapo wa chuma kwenye migodi]]
[[Picha:Chalcopyrite-Magnetite-cktsr-10c.jpg|thumb|Madini ya magnetiti (oksidi ya chuma) iliyotolewa tayari katika mtapo]]
'''Mtapo''' (ing. ''ore'', wakati mwingine pia '''mbale'''<ref>[[Kamusi Kuu ya Kiswahili|Kamusi Kuu]] ya BAKITA, [[Kamusi ya Kiswahili sanifu|KKS]] na [[KKK/SED]] ya [[Taasisi ya Taaluma za Kiswahili|TUKI]] na [[Kamusi Awali ya Sayansi na Tekinologia]] hutumia "mtapo", ilhali KKK/ESD ya Tuki inatumia "mbale", inayotumika pia katika maandiko ya Wizara ya Madini Tanzania ([https://www.madini.go.tz/wp-content/uploads/2019/02/MWONGOZO-WA-KUHAKIKI-UONGEZAJI-THAMANI-MADINI_GN-NO-60-OF-2019.pdf Mfano uk. 6].</ref>) ni [[Mwamba (jiolojia)|mwamba]] asilia au [[mashapo]] mwenye [[madin]]i ya thamani ndani yake, hasa mwenye [[metali]] ndani yake.