Misri ya Kale : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 3:
'''Misri ya Kale''' ni [[ustaarabu]] uliokuwepo [[Afrika kaskazini]], sambamba na mto [[Naili]], kuanzia kwenye [[delta]] au [[mdomo]] wa Naili, toka [[kaskazini]] mwa [[Misri]] kwenda [[kusini]] hadi [[Jebel Barkal]], kwenye [[maporomoko]] ya nne, wakati wa kupanuka kwake ([[Karne ya 15 KK]]).
 
Ustaarabu huo ulidumu kwa karibu [[milenia]] tatu, toka takribani mwaka [[30003200 KK]] hadi mwaka [[30 KK]] nchi ilipovamiwa na [[Waroma wa Kale|Waroma]] na kuwa sehemu ya [[Dola la Roma]]. Historia ya kisiasa hutazamiwa kuanza na [[Farao Menes]] manmao 3200 KK na kuisha na uvamizi wa Wagiriki chini ya [[Aleksander Mashuhuri|Aleksander Mkuu]] mnamo [[332 KK]]. Kinachofuata kilikuwa kipindi cha Misri kama nchi ya kujitegemea chini ya mafaro Wagiriki ([[nasaba ya Ptolemaio]]) hadi kuvamiwa na Waroma na kuwa jimbo la Dola la Roma.
 
[[Uti wa mgongo]] wa Misri ya Kale ulikuwa mto Naili. Sehemu kubwa ya nchi hiyo ni [[jangwa]] lakini [[umwagiliaji]] wa [[shamba|mashamba]] kwa njia ya [[maji]] ya mto ulileta [[zao|mazao]] mazuri yaliyolisha watu wengi.
Mstari 13:
[[Wafalme]], walioitwa Ma[[farao]], walijengewa [[kaburi|makaburi]] makubwa sana na [[piramidi]] ni kati ya makaburi makubwa kabisa [[duniani]].
 
Duniania==Vipindi yavya Kalehistoria ya Misri; ya Kale==
Historia ya Misri hugawiwa kufuatana na nasaba za wafalme wake ambao kwa jumla zilikuwa 31. Kuna ugawaji wa kimsingi kwa vipindi vitatu vikuu
*Nubia
*Himaya ya Kale ya Misri (3200 KK - 2100 KK)
*Kush
*Himaya ya Kati ya Misri (2100 KK - 1500 KK)
*Napata
*Himaya Mpya ya Misri (1500 KK - 332 KK)
*Thebes
 
*Memphis
Siku hizi wanahistoria wamezowa ugawaji wa undani zaidi, ilhali miaka ya kuanza na kuishia mara nyingi hayana uhakika.
*Giza
*Gezira
*Historia ya awali ya Misri: vor 4000 KK
*Saqara
*Kipindi kabla ya maungano ya Kusini na kaskazini: ca. 4000 kk – 3100 KK
*Luxor
*Kipindi cha nasaba za kwanza: 3100 KK– 2700 KK (Nasaba 1 na 2)
*Aswan
*Himaya ya Kale: 2686 KK –2181 BC (nasaba ya 3 – 6)
*Kom Ombo
*Kipindi cha kwanza cha mpito: ca. 2216–2137 KK (nasaba ya 7. bis 11)
*Sinai
*Himaya ya Kati: ca. 2137–1781 KK (nasaba ya 11 - 12)
*Mt. Katarina
*Kipindi cha pili cha mpito: ca. 1648–1550 KK (nasaba ya 13 – 17)
*Abu Simbel
*Himaya Mpya: ca. 1550–1070 KK (nasaba ya 18 – 20)
*Kipindi cha tatu cha mpito: ca. 1070–664 KK (nasaba ya21-25)
*Kipindi cha mwisho: ca. 664–332 KK (nasaba ya 26 – 31)
*Kipindi cha Wagiriki: 332 KK bis 395 n. Chr (nasaba ya Ptolemayo)
 
{{mbegu-historia}}