Ushindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Johann Carl Loth: ''Mfano wa Ushindi''.]] File:Resurrection.JPG|thumb|''Ufufuko'' kadiri ya [[Piero...'
 
kufanikiwa badala ya kubaki
Tag: 2017 source edit
Mstari 1:
[[File:Johann Carl Loth - Alegorija Pobjede.jpg|thumb|[[Johann Carl Loth]]: ''Mfano wa Ushindi''.]]
[[File:Resurrection.JPG|thumb|''Ufufuko'' kadiri ya [[Piero della Francesca]], [[1460]]]]
'''Ushindi''' (kutoka [[kitenzi]] ''kushinda''; kwa [[Kiingereza]]: ''victory'') ni [[neno]] linalomaanisha kubakikufanikiwa baadaau yakufaulu tukiokatika matukio kama vile majaribu, mitihani, mapigano au [[mechi]].
 
Katika [[Ukristo]] ushindi mkuu ni ule wa [[Yesu]] dhidi ya [[mauti]] kwa [[Ufufuko wa Yesu|kufufuka kwake]].