Sofroni wa Yerusalemu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mt. Sofroni alivyochorwa. '''Sofroni wa Yerusalemu''' (Damasko, Syria<ref>[https://oca.org/saints/lives/2001/...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Sophronius of Jerusalem.jpg|thumb|Mt. Sofroni alivyochorwa.]]
'''Sofroni wa Yerusalemu''' ([[Damasko]], [[Syria]]<ref>[https://oca.org/saints/lives/2001/03/11/100777-st-sophronius-the-patriarch-of-jerusalem "St. Sophronius the Patriarch of Jerusalem", Orthodox Church in America]</ref>, [[560]] hivi - [[Yerusalemu]], [[Israeli]]/[[Palestina]], [[11 Machi]] [[638]]) alikuwa [[askofu]] wa [[Yerusalemu]] kuanzia [[mwaka]] [[634]] hadi [[kifo]] chake<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/90499</ref><ref>John F. Matthews, "Sophronius, ‘the Sophist’," in Simon Hornblower, Antony Spawforth and Esther Eidinow (eds.), ''The Oxford Classical Dictionary'', 4th ed. (Oxford University Press, 2012). {{isbn|ISBN 9780191735257}}</ref>. Wakati huo Yerusalemu ulitekwa na [[Waarabu]] [[Waislamu]] naye alitetea [[haki]] za wananchi dhidi ya wavamizi.
 
Kabla ya hapo alikuwa [[mwalimu]], halafu [[mmonaki]] [[mwanateolojia]] aliyetetea vizuri [[imani sahihi]] kuhusu [[Yesu Kristo]] kuwa na [[utashi]] wa [[Binadamu|kibinadamu]] chini ya ule wa [[Mungu|Kimungu]].