Tofauti kati ya marekesbisho "Peloponesi"

1 byte added ,  miezi 8 iliyopita
Tag: 2017 source edit
== Jiografia ==
[[Picha:Corinth, Greece (NASA).jpg|thumb|300px|Shingo la nchi ya Korintho, mji wa Korintho upande wa kushoto, mstari nyoofu wa Mfereji wa Korintho katikati ya picha]]
Ghuba ya Korintho inatenganisha PeoponesiPeloponesi na Ugiriki bara.
 
Rasi hiyo ina milima mingi na pwani lenye hori ndefu zinazoingia ndani ya nchi. Mlima mrefu ni Taygetos unaofikia mita 2,407 [[juu ya UB]]. Rasi yote inakabiliwa na [[mitetemeko ya ardhi]] ya mara kwa mara.