Thebes : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Mstari 7:
Thebai ilikuwa jina la Kigiriki, Wamisri wa Kale waliita ''Waset ,'' ambayo ilikuwa pia jina la mkoa katika Misri ya juu .
 
Wakati wa [[Ufalme wa Kati wa Misri|Ufalme wa Kati]], Farao Mentuhotep II. alifanya Waset - Thebes kuwa mji mkuu wa Misri.
 
Sasa mahekalu makubwa yalijengwa au kupanushwa ambayo yanaonekana hadi leo . Hasa mahekalu ya temples of Karnak na Luxor hutembelewa na idadi kubwa ya watalii kutoka dunia yote.
 
Kwenye ukingo wa magharibi wa Mto Nile, wafalme walianza kujenga makaburi pamoja na mahekalu yao. Sehemu mashuhuri zaidi ni [[Bonde la Wafalme]] na hekalu ya malkia [[Hatshepsut]].
 
Thebes - Waset ilirudi kuwa mji mkuu mara kadhaa baada ya Mehutep II. Kuna uwezekano kwamba mnamo mwaka 1500 KK Thebes ilikuwa mji mkubwa duniani wa wakati wake, ikiwa na wakazi 75,000<ref>[https://web.archive.org/web/20110726164950/http://www.ianmorris.org/docs/social-development.pdf<nowiki> Ian Morris, "Social Development Archived 2011-07-26 at the Wayback Machine"]</nowiki></ref>. Iliharibika wakati wa uasi dhidi ya mfalme Prolemaio IX mnamo mwaka 84 KK; wakati wa Dola la Roma kikosi cha jeshi kilikaa katika hejkalu ya kale ya Karnak, Mji wa Luxor ya leo ilikuwa kijiji kilichobaki kamdo la hekalu ya Luxor.
 
== Marejeo ==
{{Marejeo}}
 
== Vyanzo ==