Osiris : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Osiris"
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Standing_Osiris_edit1.svg|thumb|434x434px| Osiris, bwana wa mauti, mwenye taji ya pekee na mwili wa kijani. Muguu yake imefungswa tayari katika kitambaa cha [[Mumia|mumia.]]]]
[[Picha:The judgement of the dead in the presence of Osiris.jpg|500px|thumb|Hukumu ya wafu mbele ya Osiris; upande wa kushoto roho inapimwa kwenye mizani]]
 
'''Osiris''' alikuwa mmoja wa [[miungu]] ya [[Misri ya Kale]]. Katika [[mitholojia]] ya Kimisri aliabudiwa kama [[Miungu|mungu]] wa [[uhai]], [[Mauti|kifo]], [[mafuriko]] ya [[Nile|mto Nile]], na maisha ya baadaye. Alikuwa kaka na mume wa [[Isis]] . Walikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa [[Horus]].
 
==Mitholojia==
'''Osiris''' alikuwa mmoja wa [[miungu]] ya [[Misri ya Kale]]. Katika [[mitholojia]] ya Kimisri aliabudiwa kama [[Miungu|mungu]] wa [[uhai]], [[Mauti|kifo]], [[mafuriko]] ya [[Nile|mto Nile]], na maisha ya baadaye. Alikuwa kaka na mume wa [[Isis]] . Walikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa [[Horus]].
Alikuwa kaka na mume wa [[Isis]] . Walikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa [[Horus]].
 
Katika masimulizi ya Wamisri Osiris [[Kuua kwa kukusudia|aliuawa]] na kaka yake Set lakini Isis alifaulu kumrudisha katika uhai. Mama ya Osiris alikuwa [[Miungu|mungu]] [[Nati|wa kike Nut]], baba Geb, dada Nephthys, na dada na vile vile mke [[Isis]], insi ilivyo kawaida katika familia za Kifalme za Misri ambako maea nyingi dada na kaka walioana. <ref name="Wilkinson">{{Cite book|title=The Complete Gods and Goddesses of Ancient Egypt|last=Wilkinson, Richard H.|publisher=Thames & Hudson|year=2003|isbn=0-500-05120-8|location=London|page=105|doi=|oclc=}}</ref>
 
== KwaMungu ninimpendwa katika Misri ilimpenda Osiris ==
Ustaarabu wa Misri ulimheshimu Osiris kama mungu mmojawapo lakini pia kama mfalme wa kwanza aliyedhaniwa kuwa na hekima na upole. Katika masimulizi yao aliwafundisha watu wa Misri kuachana na desturi ya kula nyama ya binadamu na kutoa binadamu kama sadaka; aliwafundisha pia kilimo na utaratibu wa ibada.
 
== KusudiKazi yake ==
Osiris alikuwa mungu wa kuzimu. Jukumu moja kama bwana wa kuzimu ilikuwa kufanya hukumu ya mwisho kabisa ya wafu, na baada ya hapo kuwalinda watu kutokana na hatari zilizohofiwa kutoka kuzimu kwa walio hai.
 
== Mwonekano ==
[[Picha:Egypt.KV43.01.jpg|thumb|240x240px| Miungu ya Duat, Osiris, [[Anubis]] na [[Hathor]]]]
Osiris alichorwa kwenye taswira za ukutani kama farao aliyevaliwa vitambaa vya [[mumia]] kwenye sehemu ya chini ya mwili wake. Alivaa taji nyeupe yenye manyoya ubavuni akishika fimbo la farao. Osiris alionyeshwa kuwa na ngozi ya kijani kibichi, akiashiria kuzaliwa upya kwa Wamisri.
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
 
== Viungo vya nje ==
{{Commons category}}
*[http://www.aldokkan.com/religion/osiris.htm Osiris]—"Ancient Egypt on a Comparative Method"
*[https://www.ancient-egypt-online.com/osiris.html Osiris Egyptian God of the Underworld]
 
[[Jamii:Miungu ya Misri ya Kale]]